Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
embu tuongee ukweli,
hivi hao mnaowapelekea training ya forex trading ni watu gani??
mie nahisi mna prey kwa watu wasio na kazi,
wengine hata basic computer skills hawana ,
mnawapelekea training ambayo they are bound to fail,
Ajira hakuna ndio lakini hio sio sababu ya nyie opportunists kuwatumia watu!
eti mnaenda mikoani,
jamanii kabisaaa???!!!