[emoji121]embu tuongee ukweli,
hivi hao mnaowapelekea training ya forex trading ni watu gani??
mie nahisi mna prey kwa watu wasio na kazi,
wengine hata basic computer skills hawana ,
mnawapelekea training ambayo they are bound to fail,
Ajira hakuna ndio lakini hio sio sababu ya nyie opportunists kuwatumia watu!
eti mnaenda mikoani,
jamanii kabisaaa???!!!
anzA kukemea wewe mkuuwanakuambia wanapata faida milion 40 kwa wiki
mimi nawalani mods tu wanajua forex ina utapeli ila wanakaa kimya tu huku tovuti kibao africa zimekemea.. nairaland wamekemea. JamiiForums.com wamekemea, mashada wamekemea.. ila jamii forums wanailinda forex kama nao wana hisa vile.. kweli pesa mwanaalamu... jina ambalo jamiiforums wamelijenga miaka kibao watalipoteza siku moja tu wasipokuwa makini kukemea vitu ambavyo haviko straight.. wenzao sio wajinga wanaokemea huo ujinga.. ni sababu wanalinda member wao na jina lao walilolijenga miaka kibao
mtu anakwambia anapata faida milion 40 arobaini kwa wiki huku hachoki kuibia watanzania visenti vyao...
akiulizwa maswali ya hoja anakimbilia kuweka mapicha picha na kuingia mitini.. juzi kaweka picha ya range.. watu wenye akili wakamuuliza kadi ya gari akakimbia kwa spidi kali
[emoji121]
MKUU,
ACHA UJINGA!!!
WEWE KAMA HUNA MZUKA NA HII MAMBO-TULIA.
USIHARIBU MIRADI YETU YA UDUFUAJI ,
HUJUI NI KIASI WATU TIMEFAITI KUGUNDUA HII FURSA!!!
[emoji377] [emoji124] [emoji469] [emoji377] [emoji124] [emoji469] [emoji377] [emoji124] [emoji469]
Hakuna anaeibiwa mamy mfano mimi nipo nasubiri ka fursa hapa kwenye chat yangu nimekatega mwenyew sas nani anaiba na kwa njia gani kama ni hizo laki mbili wanzokusanya ni ada tu na unasoma kitu kipya sasa unaibiwaje hapo mynyie endeleeni kuwaibia watanzania wenzenu,iko siku mtayalipa haya yote...smh
wewe hivi kwa nini Rebeca akiweka mada lazima uitifue tifue??? una deni nikulipe???
Ulimnyima kitu cha kiutu uzima si burewewe hivi kwa nini Rebeca akiweka mada lazima uitifue tifue??? una deni nikulipe???
[emoji121]wewe hivi kwa nini Rebeca akiweka mada lazima uitifue tifue??? una deni nikulipe???
Kumbuka unapoitiwa fursa basi wewe ndio fursa yenyewe.Hiz mambo kuna mtu leo kalia..kanifata nikamwambia hakuna mchezo unaohusisha pesa dunian, michezo yote inaanza na matukio mengne kabsa then pesa ndio zawad sio pesa kujumuishwa kwenye mchezo lazma ulizwe.
Kumbuka unapoitiwa fursa basi wewe ndio fursa yenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atakuwa anataka Papuchiwewe hivi kwa nini Rebeca akiweka mada lazima uitifue tifue??? una deni nikulipe???
Exactly [emoji817]Kumbuka unapoitiwa fursa basi wewe ndio fursa yenyewe.