Opportunists hata kama ajira hakuna lakini mnawatumia watu vibaya

Mimi sifanyagi ujinga na upuuzi km huu...!niliwahi kipoteza pesa yangu laki 1 GNLD siwezi rudia upuuzi na utumbo wa aina yeyote!
 
ka fursa kalitiki nilichovuna ni hicho niliset take profit imefikiwa nikiwa na njozi mida ya wanga
 
matapeli naona mmekuja na mapicha picha.. wakiulizwa swali badala ya kujibu wanapumbaza watu na mapicha picha
 
Ki ukweli kabisa toka ku moyo wangu, nashindwa kuwashangaa wanao kemea Forex!! Hii kitu sio utapeli na kama kuna utapeli wala wanaoufanya sio hao mnaowasema eti wanawaita watu kwenye training!! Wanaoweza kuwa MATAPELI ni baadhi ya maBroker!! (Hawa for sure miongoni mwao kuna MATAPELI)

Kinachowatatiza watu ni kuwa wanahisi Forex ni mchezo! Ndugu zangu huu si mchezo!!! Ni biashara halisi na ni kazi kama zilivyokazi nyingine!!

Jaribu kujiuliza yafuatayo,:

1. Kuna fursa nyingi katika kilimo, je, wote tunalima!?! Wanao lima, je, wote wanapata faida!? Hakuna wanaoshindwa na kuachana tena hadi kulaani kilimo!?

2. Kuna fursa nyingi za biashara ndogo ndogo mtaani kama kuchoma mahindi, kuuza nyanya, machungwa, viazi wakati wa ramadhani etc! Je, mtaani wote tunafanya hizi biashara!? Na wanaofanya wote wanapata faida sawa!?! Hakuna wanaoshindwa na kufunga magenge yao!?

Ndivyo ilivyo hata kwenye FOREX!! Bahati mbaya sana hii inahitaji ujanja, Elimu (utake usitake hapa Forex lazima uwe umesoma tena uwe vizuri kichwani!!), kuifahamu dunia hasa hasa kwenye nyanja za uchumi na siasa! Zaidi ya yote WANAOFAIDIKA ZAIDI NI WENYE MITAJI MIKUBWA!!!

Wanaolalamika wengi walikurupuka walipoanza kuiskia Forex (nadhani pia walivutwa na kuhamasika na promosheni yake!). Siku zote kuna watu wameumbwa kuona fursa ndani ya fursa!! Mmoja wao ni huyo aliyeileta fursa ya Forex!

Kuona fursa ndani ya fursa sio dhambi wala sio kosa wala si kitu cha kukemea!!! Zaidi zaidi ni kitu cha kuongeza!!!! Hata huko wanakolima nyanya, kuna baadhi ya wakulima wanaonaga fursa ndani ya fursa kwa wakulima wenzao!! Hao ndo OPPORTUNISTS kama alivyowaita mleta Mada!!

Kama ni mvivu wa kujifunza, huna abcs za changes za dunia na zinavyoathiri fedha duniani, Forex haitakuwa rafiki yako hata siku moja kama mkulima asiyejua misimu ya mazao na aina ya udongo unaokubali zao husika!
 
Mkuu pitia nyama choma hapa[emoji41] [emoji41] .Infact sina cha nyongeza na ndio ukweli wote huo,me napigia [emoji419] tu.
 
Rebecca ni bora uwe mpole tukusaidie , kuliko kuiponda hii kitu. Ni kitamu sana kamwe siachi
 
Rebeca 83 Ahaaaaa
Waliolipa ili wapate hiyo fursa ilikuwa sh 130,000 darasa la lake zone ll wengi walitoka mikoani sasa unaposema hawana kazi !!!?

-Walifikaje mwanza na kukaa wiki 1
-Usafiri town trip nenda na kurudi ulipofikia???
-Chakula + malazi ???
-Nauli ya kurudi walipotoka???.

***Rebecca umeandika kiushabiki***
 

wameuza magunia ya mahindi,kuja kuibiwa na nyie watoto wa mjini,,,,,,πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜ŽπŸ˜Ž
 
Darasa la January ada nitakulipia ingawa na beba magunia -"Rebecca 83"

Asante mkuu,ingawa unalolifanya kama umeiua nafsi sikushangai,hizi kebehi nitakua nimegusa mfupani,all I can say,is pole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…