Inawezekana sema ni ngumu sana mtu kuacha yale aliyozoea,kwahiyo kuna nafasi kubwa akaendelea vilevile .Hah ni kweli mamii kuwa akikutenda the same lazima uyakumbuke ya kale ila ndo hivyo tena.
Ila si inawezekana pia mtu kuchange kabisa?
its very true RR ,mkiingia kwny r?shp mkiwa na malengo sawa u will b on th same boat na mnapotaka kubadili hayo malengo u move together or mnasplit kila mtu na malengo yake kupata wahusika wny malengo hayo mnayofanana nayo.Lizzy, nadhani kila mtu ana degree ya opportunism. Kinacho tutofautisha ni kua wazi about nia zetu tunapoanza uhusiano. Ukimpenda mtu because of his hability of making you happy, there is a dose of selfishness and opportunism right there... if he fails to make you happy you will fly to a better sky.
Kwangu mimi opportunism mbaya ni pale mtu anapo tumia uongo na fake faces kwa kufikia lengo lake. Ila kama tuko wazi toka mwanzo nampa heshima yake tu kama kawaida, na kama opportunity anayo itafuta kwangu itanisaidia na mimi kuendelea mbele, why not?
Kupenda hakutakiwi kumfanya mtu mjinga, siku hizi kwa jinsi watu walivyo wasanii ni muhimu kichwa kikahusishwa kwenye maamuzi badala ya kutegemea moyo pekee.