Opposition goes to African court over ‘defective’ polls

Fruitless efforts? No. Let's wait to see. But, all regime fronts should be under economic and legal attack.
 
Mkuu 'O', tukianza mjadala wa Muungano najua utakuwa mkubwa na wa kuvutia. Hapa sio sehemu yake.

Nilichoandika tu ni kwamba sikupenda msimamo wake kwenye swala la muungano, kama mfano mmoja uliopelekea nikaandika nilivyoandika hadi ukaona kuwa namkejeli.
Hapana, sikuwa namkejeli, ni 'fact' tupu nilizoandika, kwani hali inayomkabili ndiyo hiyo. Hata ningelemba, maana ingebaki kuwa ni hiyo hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…