BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 776
Improve your writing skills.Opposition must be rule this country , this will be successful by using ballot box only
But remember through that crushed Electoral Commission, Zitto kabwe, Halima Mdee have been winning for 15 years now, Sugu, Msigwa, Mnyika, Lema, Mbowe, selasini etc have been winning for 10 years.We have started to wear white clothes, We demand Free Electoral Commission
Hata Mugabe walikuwa wanasema anashinda kura za wananchi kwa 95% lakini siku kaondolewa na jeshi 95% ya wananchi ndio wameandamana kushangilia kuondolewa kwake.CCM imerudi kule kwa Sadam Hussein. Jamaa alipigiwa kura 100% na chama chake awe Rais wa Iraq. lakini mwezi mmoja baadaye walishangilia sana alipouawa. Wakaenda kuliangusha sanamu lake. Ushindi wa 100% ni UNAFIKI na dalili tosha za UDIKTETA.
Improve your writing skills.
Ina maana atakufa na yeye kama Sadam ?CCM imerudi kule kwa Sadam Hussein. Jamaa alipigiwa kura 100% na chama chake awe Rais wa Iraq. lakini mwezi mmoja baadaye walishangilia sana alipouawa. Wakaenda kuliangusha sanamu lake. Ushindi wa 100% ni UNAFIKI na dalili tosha za UDIKTETA.