DAR si LAMU
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 2,928
- 551
Haya maswali nasubiria kuona yatajibiwa vipi na wana ccm hapa jamvini. Hapa nilipo nawasiliana na wapinzani kujua tofauti ya kupiga hapana na kuabstain ni nini hasa na itasaidia nini kwenye bajeti hii.
Mama Killango amepiga kura ipi?
..ngoja nijaribu,
..ukisema hapana,maana yake huitaki.
..ukisema una-abstain maana yake unachelea maana kuna mambo hayajakaa vizuri na hayataki haraka.
Kabla hajaibariki, Malecela alikaripia nini, akapinga nini, akachambua nini kuhusu graphu na ankra za hii bajeti?
Sio kuhusu populist rhetoric za "hapa hapatatosha hela za EPA zisiporudi.'
Isije ikawa alikuwa 'off topic' halafu crummy Press ya Bongo haikuwa na upeo wa kutuambia chochote!
Ha ha haaaaaaaaaa!
Mkuu Kuhani,
Unataka kujua au kupewa alichosema Mama Malecela kwenye hii bajeti?
Nataka kujua kama alicho kisema Malecela kina relevance au mchango wowote kwenye hii bajeti ambayo ameipitisha vizuri tu baada kuimbiwa chereko chereko kwa 'akijadili bajeti' kwa ukali.
Isije ikawa alikuwa 'off topic' halafu akapata vichwa vya habari kwa kuchangia bajeti kumbe hakufanya chochote - na ninavyoona mimi hana uwezo - wa kusaidia inapokuja kwenye uchumi na uhasibu wa hii bajeti aliyo ipitisha vbila kokolo baada ya hotuba za kukusanya halaiki, populist rhetoric.
Anna Kilango alisapoti hii bajeti au ali abstain ? Naomba kujua hili maana huwezi kuwa bitter namna ile the ukaunga mkono 100 kwa 100.Naomba mnisaidie kuelewa hili jamani .
Umesema unataka kujua ... relevance ya kitu. Huoni kuwa una-generalize kile unachotaka kujua kwenye msingi ambao ni relative na ambao unategemeana na perception ya anayesikia au kusoma (na au ili) kujua kama hicho kilichotamkwa ni relevant or not?
Mbona wewe usikiweke hapa (kama unacho) na kisha ukasema (kwa maoni yako mwenyewe) kama kilichosemwa ni relevant? na baadaye maoni yako na ya wale watakaopingana nawe (kama wapo) yakapimwa na wasomaji?
Unanipa shinikizo niseme mawazo yangu wakati nilikuwa nataka kusikia ya wenzangu kabla ya kukurupuka. Lakini kwa heshima yako, the illustrious and incomparable, authentic Nubian queen, Mwafrika wa Kike, I will submit!
Karipio la Malecela na rants za 'hapa hapatatosha pesa zisiporudi' wakati 'akijadili bajeti' zilikuwa hoja irrelevant populist rhetoric, za kusanya halaiki, na hazisemi lolote kuhusu the nitty gritty za bajeti. Malecela alitumia wakati wa Bunge ambao masikio ya Taifa yameinuka kusililiza bajeti ili kufunga magoli ya kisiasa wakati ishu yenyewe ya kurudisha hela za EPA sasa hivi haitishi kuisema tena. Angetamka hivyo kabla tume tume za hazijasema wameshaanza kurudisha hela.
Infecting the infectiously infector never make the heavly infectediciously infected less infectious (najifunza bado toka kwa mwl Pundit).
Nitakosea sana nikimjaji mama Malecela leo badala ya kusubiri mpaka huu mjadala wote uishe kisha nitoe hukumu yangu ya kutokea Marekani na kwa kutumia evidence za mtandaoni au media.
Anna Kilango alisapoti hii bajeti au ali abstain ? Naomba kujua hili maana huwezi kuwa bitter namna ile the ukaunga mkono 100 kwa 100.Naomba mnisaidie kuelewa hili jamani .
Bora wangebaki wakapiga kura ya Hapana badala ya the so called abstain vote. Kwa mie mkulima wa Ilolanguru nisie jua hata maana ya abstainee najua hakuna kura za hapana
Anna Kilango alisapoti hii bajeti au ali abstain ? Naomba kujua hili maana huwezi kuwa bitter namna ile the ukaunga mkono 100 kwa 100.Naomba mnisaidie kuelewa hili jamani.
Malecela anakuja kama mtetezi, anasema mali ya umma hailindwi. Tumpe yeye ailinde?