Pole Kisesa, hongera zako angalau umeweza kufanyiwa hiyo oparation ya shoulder ligaments, mimi nilipata tatizo hilo, ila la kwangu lilihusisha 'brachial plexus injury', hivyo hata oparation ya ligaments haiwezi kusaidia kitu, nimeshauriwa nifanye 'fusing' ya mifupa ya bega, moyo wangu bado unasita kufanyiwa fusing, nasubiria kupona kwa miujiza tuu kwa vile YEYE anaweza yote!.