Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
sasa mbona hujafdanya comparison kwa kubalance story na kutuwekea ya Oprah? Oprah ana utajiri wa kiasi gani?
NB
Facts & Figures are xtremely important!
Soma sentence ya mwisho nimeweka Oprah ana utajiri wa $ billion 2.9
Uwe unasoma vizuri
Inaonekana hata helen bentecourt haumfahamu, kwenye list ya wanawake matajiri duniani wa kumi anamiliki 25 bilion usd. hao uliowataja hawaingii kabisa.
Umekosea jina lake anaitwa LILIANE BETTENCOURT ana utajiri wa dollar billion 33.2 .
Mimi nazungumzia wana mama matajiri zaidi duniani wenye asili ya kiafrica. Oprah alikuwa anaongoza sasa hivi amepitwa.

Mkuu naona unajipinga mwenyewe hapo kwenye rangi nyekundu
kichwa cha habari cha mada umeandika hivi
[h=2]Oprah apigwa chini sana,mwanamama toka Nigeria ndio anaongoza kuwa mwanamke tajiri zaidi duniani[/h]
kwenye heading unazungumzia mwanamke tajiri zaidi duniani hata kwenye post yako ya kwanza hujazungumzia uafrika wa hao wanawake zaidi umezungumzia jinsi zao pekee.