Picha zisizo na tafsiri ya moja kwa moja
Picha danganyifu kwenye uono
Picha zenye tafsiri kinyume
Picha msigano
Picha tengefu
Picha za kupima kiwango na afya ya akili..!
View attachment 2124958kaka mkubwa eti hii nilitafasiriwa baada ya kunyoa ndevu siku tatu mbele videvu vyenu ndo hutoke IVO [emoji16][emoji16] au na yenyewe unalisemeaje?