Optic illusions (mauzauza)

amelala.....'yaweza kuwa barabarani na kizingiti cha barabara',
au 'baraza na kizingiti chake'

kichwa mpaka eneo la kiuno lipo eneo la 'barabarani', eneo la kalio limelazwa sambamba na upande wa urefu wa kizingiti

miguu kaikunja mithili yu'kakalia kiti!


1.kwa kuangalia mgandamizo wa mgongo na alipouegemeza,Mgandamizo ni mkubwa hivyo kwa vyovyote vile hawezi kuwa amekaa wima
2.Uwelekeo wa nywele umalala straight up nayo yawezekana tu ikiwa kama amelala ukikaa nywele zitalala sambamba na uelekeo toka kichwani kuelekea mgongoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…