Optimax Business Consult, washauri wa biashara

Verily
 
Poor marketing strategy.
ni bora ungekuja moja kwa moja uenda ningeshawishika kukutafuta.
 
Poor marketing strategy.
ni bora ungekuja moja kwa moja uenda ningeshawishika kukutafuta.
Ni kweli.......inaitwa ethical promotion......usiseme ambacho haumaanishi.........kuwa social responsible.....sio usanii
 
umeongea yote mkuu sina la kuongeza.. Yeye hajaona kosa alilofanya na tunajaribu kumrekebisha anajifanya mjuajii...Yaani technique yake ni ya kitoto mno. Kama hajui jinsi ya kufanya marketing ni vizuri amuajiri mtaalamu amsaidie katika hilo suala kuliko kukaa na ku fabricate vitu ambavyo mtoto wa darasa la saba akisoma anakuona wewe unayetunga uongo zuzu...
 
bado nawaza, hata kutofautisha r na l umeshindwa mkuu? duu ni hatari sana!
 
Samcezar you were right,I appreciate you!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…