Optoma ep 706 projector imezima ghafla

Optoma ep 706 projector imezima ghafla

Kitabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
313
Reaction score
28
Wakuu natumia Optoma 706 Projector, nilikuwa naitumia ikazima ghafla,na haitaki kuwaka.....taa ya standby inawaka, ukiwasha mashine ile taa inawaka na kuzima kama indicator....msaada tafadhali
 
Wakuu natumia Optoma EP 706 Projector, nilikuwa naitumia ikazima ghafla,na haitaki kuwaka.....taa ya standby inawaka, ukiwasha mashine ile taa inawaka na kuzima kama indicator....msaada tafadhali
 
Wakuu natumia Optoma 706 Projector, nilikuwa naitumia ikazima ghafla,na haitaki kuwaka.....taa ya standby inawaka, ukiwasha mashine ile taa inawaka na kuzima kama indicator....msaada tafadhali
LENZI imeisha muda wake km upo mwanza nicheki
 
Ubaya wa projector zina lifetime masaa yake yakifika ndio mwisho wa maisha yake dadek
 
Back
Top Bottom