MONEY IS NOT EVERYTHING
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 424
- 765
Habari...kuna ajira zilitangazwa mwaka jana tarehe 3.8.2024 Za wasaidizi wa hesabu daraja 1 Sasa ni miezi sita hawajaita watu kufanya usaili shida kubwa hapo ni nin, wenye ujuzi wa haya mambo tufahamishe je, nimuda gani waombaji wanaweza kuitwa kwenye usaili baada ya kuomba au haina ukomo?Tufumbuane macho hapo jamani.Mwanangu aliomba hyo ajira anashangaa akiingia kwenye akaunti yake anakuta bado ni Received.