MONEY IS NOT EVERYTHING
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 424
- 765
ndioTamisemi walitangaza ajira?
Ni utumishi si tamisemindio
Hawa jamaa watoe tamko kama zipo au hazipoHabari...kuna ajira zilitangazwa mwaka jana tarehe 3.8.2024 Za wasaidizi wa hesabu daraja 1 Sasa ni miezi sita hawajaita watu kufanya usaili shida kubwa hapo ni nin, wenye ujuzi wa haya mambo tufahamishe je, nimuda gani waombaji wanaweza kuitwa kwenye usaili baada ya kuomba au haina ukomo?Tufumbuane macho hapo jamani.Mwanangu aliomba hyo ajira anashangaa akiingia kwenye akaunti yake anakuta bado ni Received.
Hizo za nemc hta mimi nazisubuiria mpk leoKuna Nemc Afisa mazingira zile za LGA afisa mazingira toka mwaka mwezi 8 jana dogo ameomba kimya.