Oracle 21c Training

Oracle 21c Training

MATEO GODFREY

Member
Joined
Apr 7, 2014
Posts
36
Reaction score
56
Wadau nilitembelea KITM kuulizia Oracle dtabase training nikaambiwa wanatoa Oracle 11g kwa USD 350 bila certification.

Pia wamenibania kumpata mwalimu ambae ni mtaalamu sana na maarufu kwa hizo trainings.

Je kwa hiyo 11g USD 350 ni fair kweli?
Pia kama kuna mtu ana contacts za huyo mwalimu wa Oracle hata kama nje ya KITM nitaomba anipatie maana nikaribu mwezi wasita sasa nakomaa mwenye nilianza na MYSQL (Workbench) Postgresql (Pgadmin) sasa nataka nijikite in deep kwenye 11g au 21c ambayo ndio target yangu
 
Mwalimu yupi huyo mtaaalam kama hawakupi certificate soma mwenyewe hakuna mwalimu wa kukufundisha oracle wakutisha hapo KITM
 
Back
Top Bottom