Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili ndo tatizo la kuzoea madesa!Wewe jihandae kwa unayoyajua tu kule hakuna fomula ya kuuliza maswali inategemea na wewe unavyojipeleka kwenye swali ndo hapo utakapo banwa.Wadau kwa mwenye uwezo anisaidie jinsi maswali ya NAO kwa upande wa computer huwa wanauliza maswali ya aina gani.
Dah pole mkuu mbona muda hivyo, angalia majina hapakwani washatoa majina ya second interview