luckyperc JF-Expert Member Joined Jan 17, 2011 Posts 495 Reaction score 46 Sep 12, 2011 #1 Wadau kwa mwenye uwezo anisaidie jinsi maswali ya NAO kwa upande wa computer huwa wanauliza maswali ya aina gani.
Wadau kwa mwenye uwezo anisaidie jinsi maswali ya NAO kwa upande wa computer huwa wanauliza maswali ya aina gani.
MONTEGO Member Joined Sep 8, 2010 Posts 33 Reaction score 6 Sep 12, 2011 #2 kwani washatoa majina ya second interview
NYENJENKURU JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 1,066 Reaction score 294 Sep 12, 2011 #3 Wadau kwa mwenye uwezo anisaidie jinsi maswali ya NAO kwa upande wa computer huwa wanauliza maswali ya aina gani. Click to expand... Ili ndo tatizo la kuzoea madesa!Wewe jihandae kwa unayoyajua tu kule hakuna fomula ya kuuliza maswali inategemea na wewe unavyojipeleka kwenye swali ndo hapo utakapo banwa.
Wadau kwa mwenye uwezo anisaidie jinsi maswali ya NAO kwa upande wa computer huwa wanauliza maswali ya aina gani. Click to expand... Ili ndo tatizo la kuzoea madesa!Wewe jihandae kwa unayoyajua tu kule hakuna fomula ya kuuliza maswali inategemea na wewe unavyojipeleka kwenye swali ndo hapo utakapo banwa.
luckyperc JF-Expert Member Joined Jan 17, 2011 Posts 495 Reaction score 46 Sep 12, 2011 Thread starter #4 MONTEGO said: kwani washatoa majina ya second interview Click to expand... Dah pole mkuu mbona muda hivyo, angalia majina hapa https://www.jamiiforums.com/nafasi-za-kazi-na-tenda-job-vacancies-tenders/169072-nao-washaita.html
MONTEGO said: kwani washatoa majina ya second interview Click to expand... Dah pole mkuu mbona muda hivyo, angalia majina hapa https://www.jamiiforums.com/nafasi-za-kazi-na-tenda-job-vacancies-tenders/169072-nao-washaita.html