Oral Interview Bugando haikutenda haki

Oral Interview Bugando haikutenda haki

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Jamani tendeni haki.

Kweli hakuna hata msichana hata mmoja aliyeshida kweli? Bugando tendeni haki! Mh Ummy umeona kasoro za kuwashirikisha watu wanaojuana kwenye taasisi kufanyisha Interview.

Inabidi wawe watu wasiowafahamu watainiwa. Hapa Bugando waliofanyisha interview ni walimu wenye ndugu zao hapo.

This is not fair, justice can not be done in this situation.
 
Mwendelezo ule ule wa kukosekana kwa tume huru. Bila ya panels hizi kuwa neutral mbona kina February, Ma rope na ndugu zao bado wapo wapo sana?
 
Mm nilianzisha uzi hapa wa UDOM. Niki omba mchakato mzima wa selection, kuita watu, interview (written na Oral) ufanywe na utumishi 100% siyo vyuo.
 
Neutrality - bila maskini kuutumia vyema mtaji wetu? Tutasubiria sana.
 
Mm nilianzisha uzi hapa wa UDOM. Niki omba mchakato mzima wa selection, kuita watu, interview (written na Oral) ufanywe na utumishi 100% siyo vyuo.
Exactly. Tutalifikisha kwa Ummy.
 
Mh Ummy tunaomba uingilie kati upendeleo huu. Gender balance iko wapi?
 
Mm nilianzisha uzi hapa wa UDOM. Niki omba mchakato mzima wa selection, kuita watu, interview (written na Oral) ufanywe na utumishi 100% siyo vyuo.
Niliona na watu walikushambulia sna kunbe hawajui adhari zake Ni zipi Ni Mara Mia kwenda ddm kupiga interview kuliko unipeleke taasis husikaa bladfaekini

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Basi hili limetokea bugando. Waliochaguliwa wote ni wanaume ambao ni maveteran pale kwa ajira ya mikataba.
 
Kwamba mkifanya interview lazima mwanamke apass mbona mawazo mfu hayo tatizo wadada mnataka mbebwe tu
 
Niliona na watu walikushambulia sna kunbe hawajui adhari zake Ni zipi Ni Mara Mia kwenda ddm kupiga interview kuliko unipeleke taasis husikaa bladfaekini

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kaka wewe kupata kazi nadhani ni mpaka usifanye hiyo interview.
Maana sio kwa muandiko huo.
 
Kwamba mkifanya interview lazima mwanamke apass mbona mawazo mfu hayo tatizo wadada mnataka mbebwe tu
Kama pass mark ni 50, then kama wanahitajika say 10 na 1-10 ni wanaume kwa marks, then kama kuna mwanamke anafuata ni wa 11 say na pass mark ya 50, basi apewe nafasi...gender balance as long as ana qualify
 
Back
Top Bottom