B Bizzyboy Member Joined Nov 21, 2018 Posts 71 Reaction score 57 Oct 10, 2021 #1 vipi wadau wa jf...vipi kuna aliyetumiwa meseji au kupigiwa simu kufanya usahili wa oral kesho jumatatu kwa waliofanya written maana tunaona kimyaa au tayari waliofaulu washaitwa?
vipi wadau wa jf...vipi kuna aliyetumiwa meseji au kupigiwa simu kufanya usahili wa oral kesho jumatatu kwa waliofanya written maana tunaona kimyaa au tayari waliofaulu washaitwa?