Oral interview kada ya afya: tupeni feedback

Chapati 2

Senior Member
Joined
Dec 11, 2020
Posts
129
Reaction score
284
Habari za weekend na poleni kwa majukumu.

Hivi karibuni kada mbalimbali za afya zilikuwa katika usaili was written na oral vikisimamiwa na ofisi ya rais utumishi wa umma

Kwanza niwape pongezi wote waliofanikiwa kushiriki katika saili hizi zote mbili.

Kwenye Thread hii naomba mtujuze Oral interview ilikuwaje kwa ujumla

Je maswali yalikuwaje?

Je ni walizingatia maarifa yua chuo au job description yao?

Naomba mtupe feedback ambao bado tunajiandaa
Utawala2025
 
Wakuu Sex body ,Mwanetu255 pia dada Nyamwi255 tunaomba feedback zenu za oral
Kwa upande wangu mambo haya kua mabaya sana sehemu niliyo fanyia hakukua na usumbufu sana sana wanakagua vyeti mala mbili wakati hujaingia kwenye chumba cha oral na wakati unaingia kwenye chumba cha oral wanakagua tena panel niliyo pita mimi wasimamizi walikua 7 na maswali yalikua saba unapewa dakika 15 swali la Kwanza ni explain about your self, education background na professionalism afu maswali mengine ilikua ni mention point 5 baada ya hapo wanakushukuru then unaambiwa majibu yatatoka kwenye account yako ni hayo tu.

Kitu cha ziada nilicho pata ni kua kama unafanya usahili mkoa X afu huo mkoa walikua wanahitaji watu10 afu watu wakaenda kufanya usahili wa 5 sio kwamba mtapewa kipaumbele no bali wataangalia marks zenu Na wafanya interview wa sehemu zingine hivyo utapangiwa sehem yeyote ya kazi si lazima ulipo omba akafanye kazi

Nb.Saa usijisumbue kubeba simu pia wanazihiFadhi utapewa ukimaliza intewiew.
Ila hao watu wa sekretarieti watu wako very friendly wa na roho za utu na utulivu
 
Nakushukuru sana mkuu....feedback hii nitaibeba.

Je swali la duties za kazi yako lilikuwepo?

Challenges za kazi yako he?

na je swali la qualities za civil servant lilikuwepo? asante
 
Lilikuwepo swali la challenge tu maengine yalikua ya darasani tu
 
Kaka, Nashukuru Sana. Nipo Na Maandalizi Hapa, Nilitamani Kujua Hayo, Asante.
 
Nakushukuru sana mkuu....feedback hii nitaibeba.

Je swali la duties za kazi yako lilikuwepo?

Challenges za kazi yako he?

na je swali la qualities za civil servant lilikuwepo? asante
Ulifanya Usaili Kaka? Naomba Uelezee, Hayo Maswali.
 
Habari.

Usaili ni vita kama vita vingine.

Inategemea we we umeamua kutumia silaha ipi kuingia uwanjani.

Mimi picha linaanza sikujishugulisha na mikoa yenye competition kubwa niliomba maporini.

Usaili wa afya.

Vitu vya kuzingatia ni vyeti hakikisha haumiss Document hata Moja watu wengi walooshia mlangoni.

Written usifanye kwa kigezo cha kupata 50 competition kubwa kada zote wamechuja kwa kuangalia ratio ya 1;3 na matokeo waliyaunganisha Tz nzima.

So usiende kichovu kama ni mwalimu wa bailoji inaamaana matokeo ya bailojia wataunganisha Tanzania nzima kisha wataangalia ratio ya 1 ya 3 hata kama atapata 80 wao watachuja hapo hapo.

Kingine upande oral pitia kila kitu maana maswali wanayotoa hata mtu ukutarajia ulikomalia mambo makubwa tu na kusahau madogo.

Swali La duties wanalitoa Ila kimtego hawaendi direct.

Kingine oral hizi confidence na usifikiri fikirie kwenye chumba cha usailo majamaa yanajali Sana muda inaweza kuambia Time is over kwwma swali La introduced yourself wengi walikatizwa.

So jipange kibinadamu na usiache kumwamini Mungu.

Utafanikiwa.

Una swali.?
 
Mkuu Sina Swali Umejibu Vyema Sana, Umenipa Insight Ya Nini Nitarajie Nitafanyia Kazi Ushauri Huu Vizuri Zaidi, Upande wa Tutorial Assistant Naona Hautakuwa na Tofauti Sana. Asante
 
Habari.

Usaili ni vita kama vita vingine.

Inategemea we we umeamua kutumia silaha ipi kuingia uwanjani.

Mimi picha linaanza sikujishugulisha na mikoa yenye competition kubwa niliomba maporini.

Usaili wa afya.

Vitu vya kuzingatia ni vyeti hakikisha haumiss Document hata Moja watu wengi walooshia mlangoni.

Written usifanye kwa kigezo cha kupata 50 competition kubwa kada zote wamechuja kwa kuangalia ratio ya 1;3 na matokeo waliyaunganisha Tz nzima.

So usiende kichovu kama ni mwalimu wa bailoji inaamaana matokeo ya bailojia wataunganisha Tanzania nzima kisha wataangalia ratio ya 1 ya 3 hata kama atapata 80 wao watachuja hapo hapo.

Kingine upande oral pitia kila kitu maana maswali wanayotoa hata mtu ukutarajia ulikomalia mambo makubwa tu na kusahau madogo.

Swali La duties wanalitoa Ila kimtego hawaendi direct.

Kingine oral hizi confidence na usifikiri fikirie kwenye chumba cha usailo majamaa yanajali Sana muda inaweza kuambia Time is over kwwma swali La introduced yourself wengi walikatizwa.

So jipange kibinadamu na usiache kumwamini Mungu.

Utafanikiwa.

Una swali.?
Panelist Yako Ilikuwa Na Majaji Wangapi?

Distance Ni Kubwa Sana? As Wengine Tuna Shida Ya Masikio Kwenye Umbali Mrefu
 
K
Habari.

Usaili ni vita kama vita vingine.

Inategemea we we umeamua kutumia silaha ipi kuingia uwanjani.

Mimi picha linaanza sikujishugulisha na mikoa yenye competition kubwa niliomba maporini.

Usaili wa afya.

Vitu vya kuzingatia ni vyeti hakikisha haumiss Document hata Moja watu wengi walooshia mlangoni.

Written usifanye kwa kigezo cha kupata 50 competition kubwa kada zote wamechuja kwa kuangalia ratio ya 1;3 na matokeo waliyaunganisha Tz nzima.

So usiende kichovu kama ni mwalimu wa bailoji inaamaana matokeo ya bailojia wataunganisha Tanzania nzima kisha wataangalia ratio ya 1 ya 3 hata kama atapata 80 wao watachuja hapo hapo.

Kingine upande oral pitia kila kitu maana maswali wanayotoa hata mtu ukutarajia ulikomalia mambo makubwa tu na kusahau madogo.

Swali La duties wanalitoa Ila kimtego hawaendi direct.

Kingine oral hizi confidence na usifikiri fikirie kwenye chumba cha usailo majamaa yanajali Sana muda inaweza kuambia Time is over kwwma swali La introduced yourself wengi walikatizwa.

So jipange kibinadamu na usiache kumwamini Mungu.

Utafanikiwa.

Una swali.?
amba kuomba maporini,,,watu hamkuwa wengi kwenye izo mikoa
 
Kwa upande wangu mambo haya kua mabaya sana sehemu niliyo fanyia hakukua na usumbufu sana sana wanakagua vyeti mala mbili wakati hujaingia kwenye chumba cha oral na wakati unaingia kwenye chumba cha oral wanakagua tena panel niliyo pita mimi wasimamizi walikua 7 na maswali yalikua saba unapewa dakika 15 swali la Kwanza ni explain about your self, education background na professionalism afu maswali mengine ilikua ni mention point 5 baada ya hapo wanakushukuru then unaambiwa majibu yatatoka kwenye account yako ni hayo tu.

Kitu cha ziada nilicho pata ni kua kama unafanya usahili mkoa X afu huo mkoa walikua wanahitaji watu10 afu watu wakaenda kufanya usahili wa 5 sio kwamba mtapewa kipaumbele no bali wataangalia marks zenu Na wafanya interview wa sehemu zingine hivyo utapangiwa sehem yeyote ya kazi si lazima ulipo omba akafanye kazi

Nb.Saa usijisumbue kubeba simu pia wanazihiFadhi utapewa ukimaliza intewiew.
Ila hao watu wa sekretarieti watu wako very friendly wa na roho za utu na utulivu
Hizii ajira za Serikali education back ground unataja toka O level umesoma wap had chuo ?
 
Back
Top Bottom