Hii na mimi inanigusa,niliapply System/Network Administrator.Lakini Mpaka dakika hii walioitwa kwa oral interview ni Madereva na watu wa Afya.Kada nyingine zote kama vile Wahasibu,Human resource,Relation officers nk bado hawajatangaza sijui ndio jiiii haieleweki.Ila sasa hivi ukitembelea ile website yao "www.udom.ac.tz" utakuta tangazo la "resolution of the meeting" ukilisoma utaona kuna watu 80 ajira mpya wamesema za February mpaka 14,Decemba sasa sijui wote ndio humo humo,lakini hawajawatoa majina yao hao mwaajiriwa wapya.Lakini Kumbuka sisi tumeomba august,so inaweza kuwa ndio baibai hiyo.Undugu na Kufahamiana,UNATWANGIWA TU MWANANGU NJOO KAZINI!!!!Kigumu Chama Cha Mapinduzi