Orange zest chicken

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
14,568
Reaction score
16,917
Kuku 1

Tangawizi

Kitunguu thomu 1 teaspoon

Orange juice 2 glasses waweza kamua fresh orange au orange juice ambayo 100% alafu no sugar added

Chumvi kiasi


Chungwa moja kwa ajili ya kunapara ile skin yake...


Namna ya kutaarisha

Katakata vipande kuku

Weka kitunguu saumu na chumvi kiasi bake hadi awive....

Katika sufuria chemsha orange juice hadi iwe nzito nzito ukiona inachelewa add sugar 1 tablespoon


Wacha kuku na orange juice vipoe

Chukua kuku kipande kimoja kimoja ingiza kwenye orange juice

Para tangawizi na ganda la chungwa juu yake

Weka kwenye oven kidogo ikaukie

Weka kuku kwenye sahani tayar kwa kuliwa...
 

Attachments

  • images(1).jpg
    6.1 KB · Views: 427
  • images(4).jpg
    7.8 KB · Views: 381
Naaaaaaaaam niko, naona recipes mmh nama J ataweza pika hii?
 
Thank u farkhina for sharing! ! Mungu akulipe kwa mchango wako majumbani kwetu! !
Mkwe wangu umfundishe yote hayo nije nifaidi ;-)
 
Last edited by a moderator:
Hizi kuku naona princess atazipenda shost maana zinakuwa na utam fulani unajua watoto wanapenda sweets...nitajarjb kumpikia inshallah!
 
Hizi kuku naona princess atazipenda shost maana zinakuwa na utam fulani unajua watoto wanapenda sweets...nitajarjb kumpikia inshallah!

Tena mara hii pia aje jikoni kupika atafurahi kama siku alopika pilau kama chef kweli na nguo zake....
 
Reactions: BAK
Thanks farkhina. This is new pishi to me in sha Allah ntajaribu.

Wanaliwa na chips, na Wali au na mikate? Kipi kinapendeza zaidi?
 
Last edited by a moderator:
Hii kupara chungwa halafu la kiswahili itabidi umwage menu lote au kwenye moto bitter test inakuwa imepungua au kuisha..
 
Yummy..... farkhina maandazi yalikuwa matamu kweli hii ya leo naivutia pumzi this week
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…