Order book ya CRDB ni huzuni, matajiri wamegundua nn?

mkuu hapo ivi kwenye kuisoma hii order book inakuaje ? je izo sell qty 380,000 ni sawa na hisa 380k na kwa price ya 800tzs ??
 
Kama ni mwekezaji wa CRDB wa mda mrefu hii ni kawaida sana. Usiogope hamna taarifa mbaya
 
Huu ndo muda wa kununua hisa za CRDB hadi Dec bei itafika 1000 per share
 
Wanaouza walinunua kwa ajili ya kupata gawio,washapata wanatoa mtaji sokoni wanavizia kampuni nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…