Order ya kuprint t-shirts!

ungeweka bandiko boss jamani ndo ingefaa zaidi sio kuingilia uzi za watu na kujitangaza mkuu
Vipi huu uzi ni wako? Umesoma mleta uzi anataka nini mkuu?

Ukitaka hata kudarizi logo mbili pamoja na t-shirt kwa 1pc 10,000 leta kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…