Naomba kujua, Kama mahakama imetoa hukumu ya mdaiwa Wangu kulipa Deni analodaiwa na deadline ikapita hajaanza hata kulipa. Inabidi nichukue hatua gani za kisheria?
Kingereza cha nini tena mkuu. We rudi mahakamani kawaambie hata hivyo hivyo kwa kiswahili watakuelewa....ila kama sikosei inaitwa EXECUTION OF THE DECREE