Ordinary Diploma in Sports Management and Administration

Ordinary Diploma in Sports Management and Administration

A.Ngindo

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
276
Reaction score
101
Habarini wana jukwaa,

Naomba mwenye uelewa na course tajwa hapo juu anipe dondoo mbili tatu kuhusu modules zifundishwazo katika hii course, nimetokea kuvutiwa nayo.
 
Hv ni vitu vidogo visivyohitaji hats kuomba msaada Kwa watu
Smartphone yako unaitumia ufanya nini..

Eeb nenda GOOGLE type jina la hiyo course halaf uone kama uliitajia kuleta hiyo aibu yako hapa 😂😄
 
Back
Top Bottom