what is you email address or phone number?
Kwa wenzetu walioendelea pass marks zako ndio zinazokupa kazi nzuri ila kwa bongo experience ni kigezo wanachokiangalia sana, hivyo fuata ushauri nilou-quote hapo juu... :A S 39:Anza popote kaka. Usiangalie wanapolipa vizuri tu.
Utakapokuwa kwenye channel ya kazi ndipo utapata channels zingine zaidi.
Org zingine wanalipa vizuri kutegemea na experience yako ya kazi.
Usishangae upo na mtu kitengo kimoja kazi moja ila mishahara tofauti.