Habari za wakati huu;
Je wewe ni mjasiriamali mdogo na wakati?
Je wewe ni mjasiriamali unaeanza biashara?
Je unahifadhi vipi taarifa za biashra yako
Je unafuatiliaje utendaji wa Biashara yako?
Jaribu kufikiri iwapo utakuwa na uwezo wa kupata taarifa mbalimbali kuhusu biashata yako pamoja na uwezo wa kuwasiliana na wafanyakazi wako pamoja na wateja wako kwa urahisi.
Fikiri pale ambapo huduma hii itakapokugharimu kiasi kidogo huku taarifa zako zikiwa salama.
Ndio unaweza kuendesha biashara yako kitaalamu kwa kuwa na mifumo mitano kwa gharama ya mfumo mmoja bila wasi wasi wowote.Mifumo hio inaweza kubadilisha kabisa utendaji kazi wa kampuni/biashara yako
Wasiliana nami kwa ajili ya kufanyiwa free business needs assesment ambayo haitakugharimu chochote nami nitakushauri namna bora kabisa ya kutekeleza hili:Nitakusaidia kuweka mkakati mzuri wa kufanya Quality Control kwa gharama nafuu kabisa na kwa uhuru wa moyo.
Nitakupatia Option ya kulipa kwa awamu awamu bila usumbufu wala kupoteza taarifa zako
Fikiri hivi.Unabadili mfumo wa kufanya biashara na kuhifadhi taaarifa za biashara na unakuwa na uwezo wa kufanya mipango ya kukuza biashara yako huku ukiwa na taarifa sahihi za masoko na biashara.Tunakupatia mifumo ifuatyo kwa gharama ya Mfumo Mmoja
- Tutakupatia website Kamili yenye pages 8 na ambayo itafanyiwa SEO na kukufungulia kurasa za mitandao ya kijamii
- Tutakupati billing and invoicing system ambayo itakuwa web based na itakuwazisha kutengenza invoices nzuri kabisa kwa gharama nafuu kabisa
- Tutakupatia ERP System ambayo itakuwezesha kuhifadhi taarifa muhimu kuhusu biashara yako ikiwemo inventory,sales na finances
- Tutakupatia CRM system ambayo itakuwezesha kusimamia taarifa za wateja wako ikiwemo mawasiliano yao,biashara zao na hata kuweka taarifa za washindani wako
Mifumo hii yote ni web based na imetengenezwa kwa kiwango cha ubora wa hali ya Juu sana.
Usisubiri kuambiwa wala usiwe wa mwisho kuamua.Kama Unataka kuwa wa kisasa na kuendesha biashara yako kisasa,Wakati ndio huu.
Tuwasiliane kwa kupitia email:
sales@appserver.pw
Au tupigie kwa simu namba +255717512851
Hii ni Nyongeza ya kwanza kwa swalia ambalo aliuliza mteja wetu Mpendwa kupitia mtandao pendwa wa JF
Nashukuru kwa swali lako ndugu,Gharama zetu ni nafuu sana na tunatumia mfumo rafiki sana wa kufanya kazi ambao unampunguzi mteja gharama.Mfumo wenyewe unakuwa na hatua hizi:
- Free Business Needs Analysis-Ambayo hii tunakufanyia bure na kukupatia Ripoti kuhusu Mahitaji ya Biashara yako
- Free Cost Benefit analysis ambayo itaangalia Gharama za Mradi na faida zake
- Baada ya hapo tunakupa Test Period kwa ajili ya kutest drive huduma
- Baada ya hapo tunafanyia kazi maboresho yako unayohitaji yaongezekea au kurekebishwa.Baada ya hatua hii basi Gharma ambazo tutakuwa tumekupatia Katika hatua ya 2 hapo juu ndo itatumika kwa ajili ya Negotiations.
- Baada ya Negotiation ya Mwisho tunaingia katika Makubaliano ya Payment Plan
Kama Unavyoona hapa mfumo wetu ni rahisi sana na kuanzia hatua ya kwanza mpaka hatua ya tatu hutaingia gharama yoyote ile bali Maswala ya gharama yanaanza kuongelewa katika hatua ya nne na kuendelea.
Tuko Very Flexible kwenye bei na Mfumo wa malipo.
Nimeongezea haya maelezo kwenye Main thread
Usisubiri kuambiwa wala usiwe wa mwisho kuamua.Kama Unataka kuwa wa kisasa na kuendesha biashara yako kisasa,Wakati ndio huu.
Gharama zinaanzia TZS 175000 kwa mwaka.Kutegemea na aina ya biashara
Tuwasiliane kwa kupitia email:
sales@appserver.pw
Au tupigie kwa simu namba +255717512851