Wadau pumzikeni kidogo kuhusu siasa za akina lowassa na Jk.
Nimesikia kidogo kuhusu hii dawa/majani ya chai kuwa yanatibu magonjwa mengi kama;
Presha
Kisukari
Kansa
Aleji
Na mengine mengi.
Mwenye uelewa kuhusu hii dawa anifahamishe isijekuwa kama kikombe cha babu