K Kifulambute JF-Expert Member Joined May 8, 2011 Posts 2,539 Reaction score 758 Oct 4, 2011 #1 wandugu natumaini mmeamka salama na mnachapa kazi kwa kwenda front......napenda kujua ni kweli orientation kwa MBA open University itaanza week hii maana nimekuwa nikiwasiliana na hawa jamaa kila mmoja hanipi jibu la kueleweka.
wandugu natumaini mmeamka salama na mnachapa kazi kwa kwenda front......napenda kujua ni kweli orientation kwa MBA open University itaanza week hii maana nimekuwa nikiwasiliana na hawa jamaa kila mmoja hanipi jibu la kueleweka.