Orientation week ni ya lazima au.!?

Mambaenock

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2013
Posts
427
Reaction score
107
Habari zenu wasomi.
ningependa kujua umuhimu wa orientation weeks zinazofanyika vyuo vikuu kabla ya kuanza masomo kwa ujumla na je mtu asipohudhuria atakuwa amekosa vitu gani vya muhimu.!?
nawasilisha.
 
Ina umuhimu wake ngoja waje walioko vyuoni watakueleza kiundani zaidi
 
Habari zenu wasomi.
ningependa kujua umuhimu wa orientation weeks zinazofanyika vyuo vikuu kabla ya kuanza masomo kwa ujumla na je mtu asipohudhuria atakuwa amekosa vitu gani vya muhimu.!?
nawasilisha.

Unadhani walioweka ni wajinga??
 
Sio muhmu kivile,me binafc ckuhuzulia.over
 
Habari zenu wasomi.
ningependa kujua umuhimu wa orientation weeks zinazofanyika vyuo vikuu kabla ya kuanza masomo kwa ujumla na je mtu asipohudhuria atakuwa amekosa vitu gani vya muhimu.!?
nawasilisha.

kinafanyika zaidi ni viongozi wa chuo kujitambulisha na pia wanafunzi wanapewa usia jinsi ya kuishi chuoni pamoja na kuelezwa mazingira ya chuo na utaratibu kwa jumla. Nimuhimu sana kuwepo lkn sio lazima
 
hiyo muhimu,ukitaka kujenga vizuri lazma u survey
 
kinafanyika zaidi ni viongozi wa chuo kujitambulisha na pia wanafunzi wanapewa usia jinsi ya kuishi chuoni pamoja na kuelezwa mazingira ya chuo na utaratibu kwa jumla. Nimuhimu sana kuwepo lkn sio lazima

thanks mkuu kwa maelezo yako mazuri
 
Habari zenu wasomi.
ningependa kujua umuhimu wa orientation weeks zinazofanyika vyuo vikuu kabla ya kuanza masomo kwa ujumla na je mtu asipohudhuria atakuwa amekosa vitu gani vya muhimu.!?
nawasilisha.

Wastage of time,me mwenyewe nina hisia za kudoj hiyo orientation..!kwanz tutakua hatuna boom,sasa si bora nilalie mgongo nyumbani
 
Ina umuhimu,
1.unayajua mazingira ya chuo
2.unawahi kufanya registration
3.kama una maswali au matatizo unapata muda wa kuyatatua
4.unaweza kubahatika kupata madesa
5.the sooner the better
6.hostel ni za shida,wahi ubahatike
7.ukiwa kama msomi jifunze kufata ratiba
 
Kwani hujui kuwa hata kudoji napo ni kufata ratiba...
 
mkuu madesa ndo nini?
 
sina cha kuongeza umemaliza
 
wewe acha kufuata ratiba kwa kudhani walioiweka ni wajinga uone utakavyobabaika unapofika kwa kuchelewa, ukute wenzio wameshafanya Registration hadi za kozi then ukaonje utamu wa kuwagongea maprof na madk ili wakusainie fomu (sijui kama ni chuo kikuu au vya kata anyway) uone wanavyodengua na uone kama hujaingizwa choo cha kike kama wewe ni me au kinyume chake. Fuata ratiba iliyopangwa na wenye akili zaidi yako hawa wanaokudanganya humu kuwa sio muhimu hutawaona utakapokuwa unahangaika wakati wenzio wanapigwa lecture.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…