Orientation week UDSM

Gee kay

Member
Joined
Oct 27, 2013
Posts
15
Reaction score
2
Leo first year UDSM wameanza orientation week nitaendelea kuwapa updates kwa kile kinachojili maeneo ya Nkrumah na Yombo pia Smart card
 
Kila la kheri wadogo zetu nakumbuka enzi hizo nimechaguliwa hujui maeneo sa mtu anakwambia nenda Library.. kule Yombo anakuelekeza kama unajua wakati hata haujui...

Sema wakati nasoma Advance tulikua tunasoma hayo maeneo ikawa bahati kujua baadhi ya maeneo..
 

Kumbe na wewe umesoma udsm!!! Umemaliza mwaka gani if you don mind banah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…