umewaelewa vizur lkn kaka?,wanadai mwanzon upinzan ulijifarij kwa vikura vya mwanzo mwanzo lkn mwishowe chali,.ulimuona yule mshenz aliyejifanya slaa?Kweli we mwanzisha mada ni kilaza...katika siku zote nilizoangalia Zecomedy leo ndio wamewapendelea mno CHADEMA, na sio kuwapendelea wameongea fact tupu, wamewapa kubwa CCM kwamba wamechakachua kura za CDM kwani tangu mwanzo kila box ni kura za "magwanda" means CDM ila baadae walivyoanza kuchakachua, aaagh " Box zote..tawala"...means CCM...sasa hapo mkuu utasemajje Zecomedy wameipendelea CCM, acha zako bana!! Bgup zecomedy
Hao jamaa bado una muda wa kuwaangalia?! Toka wamehamia CCMBC wamekua mapimbi kabisa!!!
ndugu yangu wale ni kazi kama wanavyofanya wengine wale wapo kikazi zaidi hii nchi kila mtu anangalia masilahi yake ndio mana hakuna mzalendo je we ccm wakikualika kwenye tukio alafu wakasema watakupa mkwanja wa mana hutauzulia?wakati kila leo we unatafuta pesa
Mmmh hawa jamaa leo wamenishangaza sana na nimeshindwa kuelewa vijana kama wale ambao taifa linawategemea kutoa tathmini ya uchaguzi igunga ktk hali ya upendeleo tena mkubwa kwa CCM,.Dah jamaa ni wajinga sana kwanin wanauza utu wao kijinga hvi?
Hawa jamaaa ni pesa ndo maana wakati wakiwa eatv walikuwa wanawaiponda serikali sana ila sasa wanaisifia hata kwa baya,kama una mkwanja wa kutosha unaweza kuwahamisha na wakafanya kazi utakayotaka wewe....isipokuwa ile kazi nyingine ile ndo hamna........
Mwita wewe ni kijana, mzee au kikongwe? nauliza tu kwa maana nzuri.
Mmmh hawa jamaa leo wamenishangaza sana na nimeshindwa kuelewa vijana kama wale ambao taifa linawategemea kutoa tathmini ya uchaguzi igunga ktk hali ya upendeleo tena mkubwa kwa CCM,.Dah jamaa ni wajinga sana kwanin wanauza utu wao kijinga hvi?