Phone4Sale Original iPhone 6 na impact proof inauzwa

Phone4Sale Original iPhone 6 na impact proof inauzwa

Mkerewe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2019
Posts
345
Reaction score
347
Habari Nauza simu Original ya iPhone 6 GB 128
Bei yake Tsh 600,000 tu
Rangi ya sliver
Ina cover la gumu sana la kuzuia kuvunjika kioo hata maji kuingia ndani, water proof na impact proof kwa watumiaji wa iPhone mtanielewa sana. Kioo cha iphone kikipasuka kupata original ni kazi sana na beia za vioo ziko juu sana.

Hii simu sijaitumia ila imetumika kidogo sana nje ya nchi. Imetoka Mashariki ya Mbali, kwa yeyote anayeitaka nicheki kwenye namba hii 0735472232

Six kavu mzee laki 6??? Bei ya 7 iyo kabisa [emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom