Original of law

Original of law

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Wapendwa samahani naomba kujua original of law iliazia wapi mpka ikatufikia sisi uku watanzania tukaaza kuapply low na kuweka marekebisho samahani nitafurahi zaidi kama nitamapata majibu mazuri na reference
 
Mkuu ni Origin of law na sio original of law, acha kujifanya unajua lugha, kwanini hukutumia kiswahili Kama lugha yako, matokeo yake una haribu lugha za watu.
 
Kutumia kitu fulani sio hoja ya kwamba unwjifanya unajua kkitu hicho.

Mtoa mada katumia kiingereza na wala hajajifanya anajua.

Jirani akikuomba umtolee sauti ya kiume kwenye smu yake huwezi kumuambia aache kujifanya anajua kutumia simu ati kwa kuwa tu anatumia simu.

Nimemteteamtoa mada kwa sababu ya upuuzi ulioandika japokuwa nina imani kuwa wewe ni mwerevu.
 
Asante sana kila siku umekuwa mtu unaetumia busara sana
 
Wapendwa samahani naomba kujua original of law iliazia wapi mpka ikatufikia sisi uku watanzania tukaaza kuapply low na kuweka marekebisho samahani nitafurahi zaidi kama nitamapata majibu mazuri na reference
Sheria zipo naturally ila hizi za kuandikwa zimeanzia kwa Musa, yule kiongozi wa taifa la Israeli.
 
Wapendwa samahani naomba kujua original of law iliazia wapi mpka ikatufikia sisi uku watanzania tukaaza kuapply low na kuweka marekebisho samahani nitafurahi zaidi kama nitamapata majibu mazuri na reference
Origin of Law: Wagiriki
Siyo original of law tafadhali
 
Sisi watanzania tunaotumia sheria za mwingereza ( common law)
Ukiuliza origin of law
1.customs
2.precedent (judge made laws)
3.sheria za bungee(principle legislation)
4.common laws
5.delegated legislation
 
Wapendwa samahani naomba kujua original of law iliazia wapi mpka ikatufikia sisi uku watanzania tukaaza kuapply low na kuweka marekebisho samahani nitafurahi zaidi kama nitamapata majibu mazuri na reference
Ni Warumi, siyo wagirirki. Nilikosea, samahani kwa usumbufu
 
Back
Top Bottom