Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Kutumia kitu fulani sio hoja ya kwamba unwjifanya unajua kkitu hicho.Mkuu ni Origin of law na sio original of law, acha kujifanya unajua lugha, kwanini hukutumia kiswahili Kama lugha yako, matokeo yake una haribu lugha za watu.
Kutumia kitu fulani sio hoja ya kwamba unwjifanya unajua kkitu hicho.
Mtoa mada katumia kiingereza na wala hajajifanya anajua.
Jirani akikuomba umtolee sauti ya kiume kwenye smu yake huwezi kumuambia aache kujifanya anajua kutumia simu ati kwa kuwa tu anatumia simu.
Nimemteteamtoa mada kwa sababu ya upuuzi ulioandika japokuwa nina imani kuwa wewe ni mwerevu.
Sheria zipo naturally ila hizi za kuandikwa zimeanzia kwa Musa, yule kiongozi wa taifa la Israeli.Wapendwa samahani naomba kujua original of law iliazia wapi mpka ikatufikia sisi uku watanzania tukaaza kuapply low na kuweka marekebisho samahani nitafurahi zaidi kama nitamapata majibu mazuri na reference
Origin of Law: WagirikiWapendwa samahani naomba kujua original of law iliazia wapi mpka ikatufikia sisi uku watanzania tukaaza kuapply low na kuweka marekebisho samahani nitafurahi zaidi kama nitamapata majibu mazuri na reference
Origin of Law: Wagiriki
Siyo original of law tafadhali
Is that grammatically correct?original of law
Ni Warumi, siyo wagirirki. Nilikosea, samahani kwa usumbufuWapendwa samahani naomba kujua original of law iliazia wapi mpka ikatufikia sisi uku watanzania tukaaza kuapply low na kuweka marekebisho samahani nitafurahi zaidi kama nitamapata majibu mazuri na reference