Ni kosa kubwa sana kuwaruhusu wanao kuanagalia kundi hili ambalo kwalo matusi ndo uchekeshaji, wameishiwa siku hizi na kuendekeza matusi ni sababu nyingine ninayokushauri uangalie Mizengwe kila jpil ITV angalau wanajua kile wanachokifanya na hakihitaji kuwa rated
Ulilinganisha na wengine wale wako juu! ila matusi kweli siyo mazuri watoto sasa hivi wataanza kutukana jibwa etc.
sehemu kubwa ya vipindi vyao wameishiwa ubunifu na kujaza matusi.Ulilinganisha na wengine wale wako juu! ila matusi kweli siyo mazuri watoto sasa hivi wataanza kutukana jibwa etc.
Kikwete na RostamNani aliwapeleka TBC 1!!!!!!!!
Baada ya mtoto kuanza kuyaporomosha ulimchukulia hatua gani?? Unajua wazaz wa siku hz mnalealea watoto kizembe sana, kudekeza kwingi utafikiri ye ndo mzaz wako. Kwa mzaz wangu mimi haikuwa rahs kumsikia mtoto akisema tusi hata kma kalicopy sehem. Sasa ww mtoto anaporomosha matus ya Zeko na we upo, hii inaleta picha gani?? Umedekza huyo mtoto, vinginevyo asingethubutu kufanya hivyo. Sisemi kwamba hujui kulea ila usiache comed wakulelee mtoto.wako juu lakini kwa matusi haya wataaanza kuporomoka!jana tu mtoto baada ya kuangalia akaanza kuyaporomosha... ilikuwa so!
kundi hili linafanya vizuri sana katika tasnia ya ucheshi hapa Bongo,lakini wadau naomba kuuliza hivi watoto wetu ambao ni mashabiki wakubwa wanajifunza nini? hasa pale wanapoporomosha matusi ""mfano JIBWA, NYOKO na mengine mengi tu! imekua kero badala ya Burudani! wadau mnalongaje!
unajua hata ku-fulia ni msemo wao, sasa kama we mtu mzima unautumia (japo si tusi) itakuwaje kwa mtoto??Hawana sera hawa jamaa nowadays!wamefulia.