Baada ya mtoto kuanza kuyaporomosha ulimchukulia hatua gani?? Unajua wazaz wa siku hz mnalealea watoto kizembe sana, kudekeza kwingi utafikiri ye ndo mzaz wako. Kwa mzaz wangu mimi haikuwa rahs kumsikia mtoto akisema tusi hata kma kalicopy sehem. Sasa ww mtoto anaporomosha matus ya Zeko na we upo, hii inaleta picha gani?? Umedekza huyo mtoto, vinginevyo asingethubutu kufanya hivyo. Sisemi kwamba hujui kulea ila usiache comed wakulelee mtoto.
Toka walipochukuliwa kwenye kampeni za CCM,yani wamekuwa si wakosoaji/waelimishaji kama ilivyokuwa hapo mwanzo.....sijui wamelewa pesa za kifisadi?dah.....wabadilike kama wanataka wawe kwenye game kwa mda mrefu.