Manywele. Member Joined Nov 25, 2011 Posts 25 Reaction score 3 Mar 16, 2012 #41 Chadema hawana wanafiki kama hao
Tonny JF-Expert Member Joined Sep 13, 2010 Posts 216 Reaction score 43 Mar 18, 2012 #42 Mungi said: Hivi hakunaga jukwaa la Comedy? Kama hakuna hapa ni mahala pake kwakuwa inacomedia siasa za bongo. Click to expand... siasa za bongo ndo komed yenyewe so hamna haja ya kuweka majukwaa mawili
Mungi said: Hivi hakunaga jukwaa la Comedy? Kama hakuna hapa ni mahala pake kwakuwa inacomedia siasa za bongo. Click to expand... siasa za bongo ndo komed yenyewe so hamna haja ya kuweka majukwaa mawili
Negrodemus JF-Expert Member Joined Dec 30, 2010 Posts 2,318 Reaction score 684 Mar 21, 2012 #43 Manywele. said: Chadema hawana wanafiki kama hao Click to expand... Wamebadirika.
Negrodemus JF-Expert Member Joined Dec 30, 2010 Posts 2,318 Reaction score 684 Mar 21, 2012 #44 King Kong III said: Wamefuliaaaaaaaaaaaaaaaaaa,Piga Chiniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Click to expand... Angalien haka kapicha natumia simu nimeshindwa kuauplod vyema Siamin kama walikuwa hvi na mbwembwe zote za kukashifu wenzao.. Attachments Mpoki na joti.jpg 59.3 KB · Views: 58
King Kong III said: Wamefuliaaaaaaaaaaaaaaaaaa,Piga Chiniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Click to expand... Angalien haka kapicha natumia simu nimeshindwa kuauplod vyema Siamin kama walikuwa hvi na mbwembwe zote za kukashifu wenzao..
Mzee JF-Expert Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,602 Reaction score 5,809 Mar 21, 2012 #45 kila chenye mwanzo kina mwisho.
chumvichumvi JF-Expert Member Joined May 6, 2010 Posts 1,207 Reaction score 311 Mar 31, 2012 #46 hawajaishiwa sema wa2 cku hizi wamewachoka kwasababu ya wao kuzunguka majukwaani
Y ymcb Member Joined Mar 26, 2012 Posts 15 Reaction score 1 Mar 31, 2012 #47 jamaan walikua hawajui dira ya maisha ikoje wametumiwa na ccm wakabwagwa pwaaaaaaaa tupiliwa mbali wasubir waitwe tena 2015
jamaan walikua hawajui dira ya maisha ikoje wametumiwa na ccm wakabwagwa pwaaaaaaaa tupiliwa mbali wasubir waitwe tena 2015
Sumba-Wanga JF-Expert Member Joined Feb 2, 2011 Posts 5,353 Reaction score 1,234 Mar 31, 2012 #48 Comedy, like any art needs constant creativity.............
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,261 Reaction score 17,202 Mar 31, 2012 #49 Labda wanamsubiri mwenzao apone!