Orion spacecraft ya shirika la sayansi ya anga NASA imefanikiwa kufika mwezini

Orion spacecraft ya shirika la sayansi ya anga NASA imefanikiwa kufika mwezini

Theorist Mosses

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2022
Posts
345
Reaction score
253
picha hii ni halisi imepigwa ndani ya lisaa limoja lililopita na chombo cha Orion spacecraft kilicho ruka na rocket ya mwezini kwenye mission ya Artemis I 🛰
FB_IMG_16690502409636324.jpg

Pichani hapo ni muonekano wa dunia yetu picha imepigwa kwenye umbali wa mile 57, 000 sawa na km 97, 000 kutokea duniani. Hii ni picha ya kipekee na yakuvutia zaidi ambapo dunia yetu inaonesha inamuonekano wa blue dote.
FB_IMG_16690488817237678.jpg
FB_IMG_16690488874046394.jpg


kumbuka shirika la anga za mbali NASA, wanampango wa kumrudisha binadamu kwa mara ya pili kwenda kuishi kwenye mwezi baada ya kupita miaka takribani 50 tangu binadamu wa kwanza kukanyaga kwenye ardhi ya mwezini kwahiyo mission hii ya "ARTEMIS" itamfanikisha binadamu kukanyaga kwa mara ya pili na kujenga makazi ya kudumu kwenye mwezi.

UTAMBULISHO!!
Naitwa theorist mosses ni mwanasayansi lakini pia ni mwandishi binafsi wa habari za sayansi tanzania nitakuwa nachapisha habari za ukuaji wa teknolojia ya sayansi ya anga hapa.

unaweza kutembelea ukurasa wangu wa facebook Войдите на Facebook

JOIN US Tanzania spece mission we can💪​
 
How big is the universe? Kama dunia na mwezi vinaonekana kama vitenesi angani. Hilo anga lina ukubwa gani?
 
Back
Top Bottom