Orodha 10 ya machawa, Manara chawa mkongwe

Last Seen

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
229
Reaction score
566
😁
1. Haji Manara
2. Haji Manara
3. Haji Manara
4. Haji Marana
5. Haji Manara
6.Mwijaku
7.Baba Levo
8. H.Baba
9. Aristote
10. Lokole

Hawachawa wanasifia mpaka wanakera, Kwa nini siku hizi kuwa chawa kunagombaniwa? Wenye machawa wanatafuta nini kwa chawa?
 
Manara siyo chawa jamaa anajuwa kama ulipita anga zake utamchukia kama wanavyo mchukia wala ngada halafu yeye siyo chawa, yaani kosa alilofanya kuwambia ukweli ila mnarudi upande wake na atawakera sana. Kwani wala ngada mnateseka mkiwa wapi.
 
Hawa jamaa wanafanya elimu idharaulike Sana. Yani wasomi wapo mtaani Wana njaa mpaka matakoni,lakini wao wanapeta tu mtaji mdomo na mapambio kwa wenye nazo.

Mtoto anaweza kukuchallenge Kuna umuhimu gani yeye asome wakati kakaake aliyemaliza chuo yupo home hana mbele Wala nyuma,wakati huo Kuna hao mnaowaita machawa wanatembelea magari na kupishana kwenye ndege safari za uturuki na Dubai.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Hi namsahauje Mr. Pimbi kwa mfano?
 
Uchwa unalipa.

si tunaojifanya jeuri ndio tunakula kweli jeuri yetu.
 
"Mwijaku ukimpa laki anaweza kukuthibitishia kuwa yeye ni Mwanamke tena kwa ushahidi" hiyo comment nilikuta insta kwa hater mmoja hivi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…