AbaMukulu
JF-Expert Member
- Jan 1, 2018
- 2,053
- 3,586
Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya kuweka rekodi za watu waliouwa/kutekwa/kupotezwa na watu wasiojulikana/police brutality kwenye utawala wa awamu ya 5. Matukio yote yatakayowekwa yawe yametokea kuanzia 05 November 2015.
Kuweka kumbukumbuku sawa tuweke majina, tarehe za matukio na picha za wahanga ikiwezekana.
Naanza na waliopotezwa
1. Ben Saanane 16 Nov 2016
2. Azory Gwanda 21 Nov 2017
3. Simon Kangoye July 2017 (Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo)
Mauaji ya police brutality
1. Akwiline Akwilini 16 Feb 2018
2. Allen Mapunda 25 March 2018
Waliouawa na "watu wasiojulikana"
1. Alphonse Mawazo 14 Nov 2015
2. Maiti 14 zilizookotwa coco beach
3. Godfrey luena (diwani chadema) 22 Feb 2018
4. Daniel John 12 Feb 2018 (Katibu-chadema kata ya Hananasifu)
Waliotekwa na kuachiwa
1. Roma mkatoliki na wenzie
2. Mch Athanasio Makoti 2 Feb 2018 (Mgombe udiwani chadema, Kagera)
3. Reginald Mallya 12 Feb 2018 (mwanachama chadema)
PIA SOMA
- Uelewa wangu juu ya kundi la watu wasiojulikana
~ Matukio ya Watu kupotea na wengine kudaiwa kutekwa, nini kinaendelea kuhusu usalama wa raia
- Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana