Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
541: Kulitokea janga la ugonjwa maarufu kama Justinian's plague huko maeneo ya mediterranean. Watu zaidi ya milioni 15 walifariki dunia.
1348: Kulitokea janga la ugonjwa maarufu kama bubonic plague huko ulaya watu milioni 25 walifariki.
1520: Kulitokea janga la smallpox maeneo ya Marekani kaskazini na Kusini. Janga lililetwa na wazungu kutoka Ulaya na iliwaathiri zaidi wakazi wa jamii walizozikuta huko. Watu karibia milioni 10 walikufa.
1918: Madhara ya vita ya kwanza ya dunia na janga la ugonjwa wa Spanish flu pamoja vilisababisha vifo takribani miloni 40.
1959: Kulitokea mlipuko mkubwa wa njaa huko China. Watu milioni 45 walifariki.
2005: Huu ndio mwaka ambao janga la ukimwi lisababisha vifo vingi duniani. Watu zaidi ya milioni 2 walifariki dunia.
2020: Kulitokea janga la Covid 19 ambalo mwaka 2020 peke yake lilisababisha vifo vya watu zaidi ya milioni 3.