Orodha ya biashara kwa mtaji kiduchu zenye uhakika wa kukulipa awamu hii ya tano

Kodi ni hatari hata kwa big companies , scandals zinasikika kila siku,PANAMA PAPERS
 
 
Yap n kwel.. hasa kwenye POMBE....
 
Pombe bana ukifiwa unakunywa ukifumaniwa unakunywa
Ukifukuzwa kazi unakunywa
Ukipata kazi unakunywa
Na ukifa wenzako bado wanakunywa.........I love this buzness
hahaha sijui pombe ina nini!
 
Sector ya usafiri inalipa sawa, lkn inachangamoto nyingi, kwa mfano ukiwa na bodaboda, sikuhizi askari yeyote yule hata wali wasio kitengo chao hukamata, na hata km umekamilika VP ni lazima wakuchomoe hela tu, ukiwa na gari vilevile, hata kama uwe na vibari vyote lkn bado utasumbuliwa tu apo bado mamlaka mbalimbali, usafirishaji kwa Tanzania kwa sasa hamna kitu.
 
daaahh hiyo nikisahau "" mkuu hao Boda + wanapatwa na shida mnooo wamegeuzwa kama chambo cha kukombwa pesa ..mtaji wenyewe wa ml.2 lakini wanavyoburuzwa sasa kama wa namiliki chombo cha ml.30
 
Kuna haja ya TRA pia kupata timu ya washauri kutoka kwa watu waliofanikiwa kwenye biashara ambao watawapa practical experience kuliko hii ya mtu anakuwa na theory kibao (TRA) kisa amesomea kodi anakwenda kupambana na raia ambae ana uzoefu wa biashara (kifuatacho ni makadirio ya ovyoo japokuwa sio wote wanaoilaumu TRA wamekadiriwa vibaya bali wengine ni wakwepaji pia )
 
Sasa hivi ukiacha wakwepaji hata walipaji wanalalamika makadirio makubwa kuliko biashara husika.
Hapo kwenye kupata watu waliobobea kwenye biashara kweli sisi wengi tunatoa elimu ya kodi ya darasani zaidi kuliko ya uhalisia wa biashara. Mi sidhani kama kila mtu angekua anakadiriwa sawa sawa wakwepaji wangekua wachache sana.
 
Yes ni kweli mkuu yaani ifike mahala serikali ichanganye uzoefu hata washauri wa Rais / serikali katika mambo ya kiuchumi wajaribu kuchukua hata katika sekta binafsi sio huu mfumo wa kuwa na wachumi wenye elimu ya darasani na ambao ndio washauri na sio kusubiri mpaka kutokee sintofahamu ndio wanaanza kuita wadau mbalimbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…