Orodha ya biashara kwa mtaji kiduchu zenye uhakika wa kukulipa awamu hii ya tano

THE LIST Uko vizuri!

Wakati naendelea kusoma uzi wako Nimejikuta
Navutiwa kusoma zaid masuala ya Uchumi...

Hakakika ningekutana na vichwa vitatu tu.. Vyenye mawazo kama yako, na baada ya hapo vikanipa dozi kama hiyo kutwa mara moja tu.... Ndani ya siku 5 ningekuwa mbali sana!

Barikiwa sana mkuu!
 
Nashukuru kwa niaba..niko hapa kumwakilisha kaka angu the list anayetumikia kifungo cha siku kadhaa
 
yec i get it ,na nimejalibu one of the list now i earn money easy,than before.
Thank you
 
-Hahaha mkuu hizo makundi huhamasisha magenge ya upatu na udaku..
mkuu the LIST kwanza niweke wazi asante kwa Uzi ulioshiba vitamini pesa kama tutautumia vizuri...naomba ushauri kidogo kuna jamaa anamjengo wake ila zimebaki kama m.8 hivi amalizie yeye anataka amalizie then apangishe maana keshapata na mpangaji kabisa wa kulipa laki3 kwa mwezi ni hawa wanaohamia Dodoma kama unavojua Dodoma Nyumba za kupanga ni taabu kidogo..so jamaa kaja anaomba ushauri amalizie au awekeze kwenye biashara nyingine especially hapo kwenye vinywaji(pombe) vya jumla vipi nimshauri vipi ndugu please msaada kwenye tuta!!!
 
Tread iko poa sana ila inahitaji elimu zaidi juu ya kodi TRA, mambo yamekuwa magumu kwa wafanyabiashara kwenye hilo. Hayo madini tumekuwa tukiyakosa siku nyingi, tuendelee kukaribisa wengine wenye great business ideas ili wote wapate kujua pa kuanzia na sio kila siku kulalamika kama kawaida ya kitanzania
 
Biashara ya bangi inalipa sana... Ndo mule mule.
 
Karibu inbox kamanda
 
Biashara ya uchi inalipa ni wkt serikali ifikirie kuhalalalisha hawa watu wasajiliwe na walipe kodi,hii ni moja ya recession proof businesses.
 
Asate mkuu kwa kutufungua vichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…