Orodha ya Kodi za Serikali

Orodha ya Kodi za Serikali

fitonenendefu

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2022
Posts
428
Reaction score
881
Habarini wanajamii forums, hope mko salama na haya mapumziko ya jumapili.

Nimeona kuwa serikali yetu Ina Kodi na tozo mbalimbali, Kuna ambazo tunazijua na ambazo hatuzijui ila zipo. Kwa faida ya tulio wengi,mtuorodheshe Kodi, ushuru, tozo na vyanzo tofauti tofauti vya serikali yetu ili sisi wananchi angalau tupate ufahamu.

Naanza nizijuazo Mimi binafsi.

1.Kodi ya ushuru wa forodha,10%,25%
2.Kodi ya majengo withholding tax 10%
3.Vat 18%
4.Tozo ya miamala ya simu
5.Kodi ya mapato PAYE 10%
6.Ewura
7.
8.

Haya karibuni wataalamu tuendelee kuelimishana na tulipe Kodi na Tozo Kwa maendeleo ya Taifa Letu.
 
Back
Top Bottom