Penologist
JF-Expert Member
- Feb 25, 2019
- 790
- 1,923
Amani iwe nanyi wakuu.Ifuatayo ni orodha ya makada maarufu wanaoalikwa bungeni kwa lengo la kwenda kuongeza ushawishi wa maendeleo kwa vijana.
1.Pierre liquid huyu hayupo kwenye kundi la wasanii ila ni mtu maarufu kutokana na unywaji wa pombe unaomlevya na kuanza kusema maneno yasiyo kuwa na maana halisi.
2.Poshy quieen huyu ni msichana mrembo aliyepata umaarufu baada ya kuongeza makalio yake na kuwa kivutio kikubwa kikubwa huko kwenye mitandao ya kijamii
3.Pastor mshimo tayari kapokea mualiko.
4.Sister fey huyu ni msanii wa muziki mwenye ushawishi mkubwa barua yake ipo njiani anasubiriwa ndunguru kusaini.
5.Miriam biriani huyu ni mjasiriamali wa biriani atasaidia kuhamasisha ununuzi wa vitambulisho vya wajasiriamali.
6.Shamim huyu ni motivation speaker mkubwa na ni mjasiriamali barua yake tayari tunasubiri ipigwe muhuri masijala.
7.Nabii tito huyu ni miongoni mwa manabii wanao angaliwa sana na vijana barua yake ipo anahitajika afike bungeni kabla bunge la ndunguru halijaisha.
8.Tunda huyu binti ni mlimbwende wa kwenye video za muziki.
Ruksa kupendekeza makada wengine wenye ushawishi watakao alikwa bungeni ili kuwashawishi vijana waende na kasi ya hapa kazi tu kufikia Tanzania ya viwanda.
NB.vijana kama yule wa mbeya aliyetengeneza helicopter hawatakiwi.
Yule wa NIT aliye tengeneza gari la kutumia umeme hatakiwi.
Wale wanaotoka na GPA kubwa mlimani na mzumbe hawatikiwi.
Tunataka watu watakao ongea lugha moja na msukuma na kibajaji kuhusu maendeleo ya reli ya stiglaz goji ma Tanzania ya viwanda.