Orodha ya Mambo ambayo yanamtambulisha Muafrika kwa urahisi!

Orodha ya Mambo ambayo yanamtambulisha Muafrika kwa urahisi!

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau nimewawekea orodha happy chini nawewe uwe huru kuongezea

Tafadhali lugha ya staha itumike kujadili uzi huu maalumu

Karibuni

Vyombo vya udongo Kukaa kabatini na kutumika pale tu anapokuja mgeni

Kuoigia mswaki nje ya nyumba hasa nyuma

Kujisaidia haja ndogo kwenye ndoo au kopo mida ya ucku

Baba kuwekewa nyama nyingi Kuliko watoto Wakati wa msosi

Baba kushika remote ya tv anapokuwa sebuleni
 
Kuomba kupunguziwa bei . Kupiga mizinga kuanzia ya sigara,pombe mpaka nauli kwa jirani ambaye huna hata mazoea nae.

Kujiona kila siku wewe ndio una shida kuliko wengine. Kuangalia kipato cha mtu na kutaka kumpangia atumieje hela yake.

Kujifanya unamjua mtu hata kama ulimsikia kwenye stori tuu. Au jamaa akiwa na uwezo akihamia mtaani kwako unaforce akutambue na wewe upo.

Kushangaa magari na vitu vingine ikiwemo watu waliopendeza njiani. Kusalimia salimia watu hata usiowajua.
 
kupenda kuperuzi nyuzi za mibususu kwenye mitandao ya kijamii kuliko nyuzi nyingine zozote.
Mfano : uzi wa riki boy unaweza kushika nafasi za juu kwa replies hadi sasa.
 
Afrika

-mtu akinunua gari ni tajiri
-ni lazima kuoa/kuolewa au kuzaa kabla ya miaka 30.
-ukipata girlfriend ni kama umezaa maana utamlea kama mtoto.
-mtu ana fanya kazi anapata pesa anazipeleka kwa mganga azizindike.
-simpendi mtu fulani, simpendagi tuu hamna sababu.
-mtu anauza ng'omba anashughulikia kesi ya kuibiwa kuku, mpaka aliyeiba afungwe.
-mswaki ni mpaka upotee, hanunui mwingine
-nikifa usije kunizika, ukija nitakutokea ndotoni
-mtu akipata kazi ananenepa.

N. K
 
🤣🤣🤣🤣hatimaye waafrika tumejuana
 
Ujinga, Umasikini, Chuki binafsi na za kidini na kikabila.
Cha mwisho ni unafiki.
 
Back
Top Bottom