Afrika
-mtu akinunua gari ni tajiri
-ni lazima kuoa/kuolewa au kuzaa kabla ya miaka 30.
-ukipata girlfriend ni kama umezaa maana utamlea kama mtoto.
-mtu ana fanya kazi anapata pesa anazipeleka kwa mganga azizindike.
-simpendi mtu fulani, simpendagi tuu hamna sababu.
-mtu anauza ng'omba anashughulikia kesi ya kuibiwa kuku, mpaka aliyeiba afungwe.
-mswaki ni mpaka upotee, hanunui mwingine
-nikifa usije kunizika, ukija nitakutokea ndotoni
-mtu akipata kazi ananenepa.
N. K